Kama mwanzo alikuona hufai/huna vigezo,,mwambie huna kilichobadilika,,hata kama unamiliki vitu ambavyo hakukuacha navyo,,usipende sana kuwaweka Karibu watu waliokuumiza kwasababu kama mwanzo hawakuithamini nafasi yako basi wakija kwa mara nyingine uwape nafasi ya kukujua kwa kukuona lakini sio kujua kila kitu kinachokuhusu.
Wednesday, August 21, 2019
USIKUBALI MTU WA AINA MOJA AKUPOTEZEE MUDA MARA MBILI
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment