Pale ambapo unaona mambo hayaendi basi ni wajibu wako kuhakikisha yanaenda na vile vile yanakaa sawa,,,,,,uwe mwanamke au mwanaume tambua mapenzi ni yenu sote,,,,,Na sio jukumu la mmoja,,,,kila mmoja ahusike kwenye kujua wajibu wake na ahakikishe anauitimiza ili usawa kwenye mahusiano yenu uwepo.
Thursday, August 22, 2019

UNAPOKUWA KATIKA MAHUSIANO TAMBUA WAJIBU WAKO NA UUTIMIZE
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment