Wakati mwingine mapenzi yanapungua kwa wanandoa au wapenzi kwasababu tu wanandoa au wapenzi hao wamekosa kuwa wabunifu katika maisha yao ya mahusiano au ndoa waliyonayo,,,wanakosa kuwa na mambo mapya juu ya maisha yao na mapenzi kiujumla,,,ukitaka mpenzi,mume au mke akuone wa kitofauti kila iitwayo leo lazima ujifunze kuwa mbunifu katika kila hatua ya maisha mnayoishi,,,,,,jifunzeni na badilikeni,,,,,,,,hii itasaidia kubadili staili ya maisha yenu kiujumla.
Wednesday, August 21, 2019
UBUNIFU KITANDANI NI MUHIMU SANA
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment