Lazima uamini kwamba ndoa yenu itadumu na hakuna kitu kinaitwa talaka na talaka haitakubalika kamwe.
Ni muhimu sana ujiamini kwamba mwenza wako (mume wako au mke wako) anakupenda sana kama wewe unavyompenda yeye hata kama haoneshi kwamba anakupenda ila amino kwamba anakupenda sana ndio maana amekuchagua we were. Fahamu hivyo na amini hivyo.
KAna ukiweka hii katika ndoa yako, huwezi kuyumbishwa n a upepo wa mashaka na hofu wakati kunajitokeza kutoelewana. Kwa njia hii itakuwa rahisi kuirudisha ndoa yako kwenye mstari.
Saturday, August 24, 2019

KAMA HAUJAWEKA HII KATIKA NDOA BASI SAHAU
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment