Hisia nzuri kuliko zote ni furaha,,,furaha haiwezi kuja kama hamna upendo kati ya wapendanao,,,ndoto nyingi hupotea kwasababu wengi hatuishi katika upendo bali tunaishi kwa kuigiza upendo kwa maneno na sio vitendo,,,,,wenye kufurahia mahusiano yako ni wachache na wanahesabika,,,,wengi wapo kwenye maumivu na majuto ya maisha NA mahusiano yao,,,,,unaonaje leo hii mkiamua kuishi kwenye upendo?inawezekana na hakika kuna furaha kuishi katika upendo aliotuagiza Mungu,,,,amua kubadilika sasa,,,kua sababu ya furaha yake na yeye awe sababu ya furaha yako.
Thursday, August 22, 2019

HAKUNA HISIA NZURI KATIKA MAHUSIANO KAMA FURAHA
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment