Kupata mke/mume unayempenda ni jambo la kheri,lakini kupata mwanamke/mwanaume wa ndoto zako ni jambo linaloleta furaha ya kudumu,,
Familia yenye watu wanaopendana ni kati ya aina za familia zilizo na furaha siku zote za maisha yao,,jitahidi kama unataka kutengeneza familia na mtu ni vema mkapendana na kuvumiliana kwa hali na Mali.
Thursday, August 22, 2019

FURAHA YA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO HUTENGENEZWA NA WATU WOTE WAWILI
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment