WANAWAKE! HAYA HAPA MAMBO YATAKAYOMFANYA MUMEO/MPENZI AKUPENDE ZAIDI - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 21, 2019

WANAWAKE! HAYA HAPA MAMBO YATAKAYOMFANYA MUMEO/MPENZI AKUPENDE ZAIDI

1. Muamini mmeo au mchumba wako.
2. Usikatishe tamaa katika maono yake.
3. Usimlazimishe kupenda mambo unayoyapenda.
4. Usipange kumbadilisha.
5. Usidhani kwamba hawezi kutambua uwepo na uzuri wa wanawake wengine.
6. Usilazimishe kuwajibika juu ya mambo yako: Kama vile kwenda saluni, umeme, vocha na mambo mengine hasa kama bado mko katika mchakato wa uchumba, kama atafanya hivyo mwache afanye mwenyewe msimlazimishe eti kwa sababu shosti wako huwa anafanyiwa hivyo na wewe unataka, ladies huo ni utoto.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages