MWANAMKE MWENYE MANENO HAYA SIO WA KUOA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 6, 2019

MWANAMKE MWENYE MANENO HAYA SIO WA KUOA











Baby,This is February,una mpango gani na mimi??Mwaka huu ukiisha bila kunioa kwakweli sitakuelewa,Monica wa ofisini anaolewa tarehe 22,my BFF Stella anaolewa March,My roommate Sandra anaolewa na yule BF wake wa South Africa mwezi wa 6,nabaki mimi tu,kwakweli sitaki’..’Kama huna mpango wa kunioa mwaka huu niambie kabisa,kuna these 2 guys wananifuatilia muda tu nimewapotezea kwa ajili yako lakini naona hueleweki’
Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa..Ndoa sio mashindano kwamba usipokimbia fasta atashinda Usain Bolt…Anataka umuoe kisa mashosti wanaolewa kwamba ye ataonekana kachelewa lakini 2.anasema kuna vijana wa2 wako tayari kumuoa that means hana consistency,ana Plan A,B,C hadi Z,yeye shida ni ndoa ila sio nani kamuoa.Kaweka Timing,akikukosa wewe basi ana reserve.Na si ajabu hata hao wawili anaowasema wako Pending tayari wameshaweka Signature bila wewe kujua…Mwanamke wa namna hii,akisema tu hizi shombo,we mwambie Samahani mpenzi mahari nimejengea mabanda ya kuku wa Mayai…Nitakushangaa kama utakurupuka na kuanza kututumia meseji za michango ya harusi ya Crash Programme kisa demu kakupiga mkwara ili umuwahi uwashinde wale wawili..Huo ni U-sukununu!…Hutakuwa umeoa Mke ila Umeoa Vodafasta!




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages