MSAADA;JINSI YA KUMTEGUA MWANAUME TOKA LIMBWATA ALIYOTUPIWA NA MKEWE AWE CHINI YAKE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 18, 2019

MSAADA;JINSI YA KUMTEGUA MWANAUME TOKA LIMBWATA ALIYOTUPIWA NA MKEWE AWE CHINI YAKE

Mke anamdharau Mumewe Na Anakuwa na mamlaka ndani Ya Nyumba, Mume Kawa kama zezeta ..........hajali Ndugu Zake !! Anamfulia mkewe mpaka nguo za Ndani.. 
TumeGundua Kamuendea Kwa Mganga na Kuroga Ili Awe Na Mamlaka Juu Ya mumewe na mali Zake na limbwata limemuingia Sawa sawa...

Msaada wakuu Kwani Mume anashindwa fanya kitu Cha Maana Zaidi Ya kuendeshwa na huyo Mke!
Tufanyaje Kumtoa Huko Alipo?





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages