Najua kila mmoja ana malengo na mahusiano yake,,,ni vizuri lakini kuna jambo moja ambalo naomba Mungu akusaidie,,kuna watu wana maneno mengi sana,wanapenda kujionyesha kwa watu,kujitangaza na kujisifia lakini hawaishi sawa na wanavyoongea,,na ndo hapo dada usipokuwa makini unaingia kirahisi na ahadi kibao na sifa kibao,,kakusifia kumbe mtu huyo ni wa mdomoni na siyo vitendo,,jifunze na anza kubadilika,,tamani kuishi sawa na tamanio la moyo wako,,fanya kweli kama unavyojionyesha nje,,onyesha upendo kama unavyoongea kwa watu,,kuwa mtu rahisi fanya utu wako wa ndani,,uendane na vile maisha yako unavyotaka yawe,,hii itakusaidia na kukufanya uwe harisi na mpenzi wako atakufurahia.
Saturday, July 13, 2019
JITAHIDI UISHI KATIKA UHARISIA KATIKA MAHUSIANO
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment