Mapenzi ujue yanaweza kukupa stress adi mama ako akikuuliza what’s wrong-—unawez kumjibu MAMA WE BADO MDOGO UWEZ ELEWA
ππππππ
Jaribu kusawazisha stress za mapenzi zisije zikakupelekea kufanya jambo ambalo hukulitarajia katika maisha yako na badae ukajutia kwa maamuzi yako
No comments:
Post a Comment