HIVI KATI YA MUME AU MKE NI NANI MWENYE MAPENZI YA KWELI? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 20, 2019

HIVI KATI YA MUME AU MKE NI NANI MWENYE MAPENZI YA KWELI?

Ni swali ambalo huwa najiuliza sana, sipati majibu,,,, KATI YA MKE NA MUME, Ni nani anaekuwa chanzo cha kuvunja uaminifu ndani ya nyumba,  Ni nani sio mkweli???,

Baada yakujibu hayo, hebu tuzungumze jamani,,,,,, UTAJUAJE KAMA UPO WEWE PEKE YAKO… kwa huyo uliye nae??? Kuna njia zozote za kufanya ili kuprove kwamba uko peke yako??? 




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages