ANAOMBA USHAURI;MWANAUME ANAYETAKA KUNIOA ANA MAUMBILE MAKUBWA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 15, 2019

ANAOMBA USHAURI;MWANAUME ANAYETAKA KUNIOA ANA MAUMBILE MAKUBWA

Nimepata Mchumba japo simpendi sana anataka kunioa.tatizo lake ana uume mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana. 

Nimejaribu kwa jamaa mwingine mwenye ya kawaidanaona siumii naenjoy sana. Huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au ananichezea tu ila huyu mwenye sehemu kubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi.

Nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tatizo tu ni maumivu nayopata Naombeni ushauri maana kuolewa nataka ila maumivu sitaki





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages