ANAOMBA USHAURI; NITAACHAJE KUPENDA MAKALIO YA WANAWAKE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 15, 2019

ANAOMBA USHAURI; NITAACHAJE KUPENDA MAKALIO YA WANAWAKE

Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network, yaani inafikia mahali hata kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa maeneo ya nyumba basi nihakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu huyo mwanamke . 


Hii Tabia imenifanya nipoteza muda na mambo mengi ya msingi katika maisha yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview shiriki moja maeno ya Kijitonyama sayansi, nikiwa kwenye daladala kutokea mwenge kwenda posta nilijikuta nimefika posta kwa kumfuata mdada mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye dalala. 



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages