UNAJUA MADHARA YA DAWA ZA KUSIMAMISHA UUME KWA MUDA MREFU?SOMA HAPA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 17, 2019

UNAJUA MADHARA YA DAWA ZA KUSIMAMISHA UUME KWA MUDA MREFU?SOMA HAPA


Kusimamisha mb*o kwa muda mrefu na mara nyingine kiasi cha kufikia mboo inaanza kuuma kutokana na kusimama muda mrefu tayari ni ugonjwa. Kwa maneno rahisi ni kwamba umetumia dawa za kuongeza nguvu ili kuua nguvu chache ulizokuwa nazo. Kitalaamu hali hiyo ya mboo kusimama muda mrefu na kuuma inaitwa ‘Priapism’. Priapism hutokea pale mb*o inapopoteza uwezo wake wa kuondoa damu iliyoko kwenye mboo hiyo (ambayo hufanya isimame) ili isinyae (in order to become flaccid). Hiyo hali ikidumu kwa muda wa masaa manne husababisha seli za damu iliyoko kwenye mboo kukosa hewa ya oksijeni, hivyo kupelekea tishu katika mboo kufa. Na kadri hali hiyo inavyoendelea hupelekea damu kwenye mb*o kuwa na asidi na hivyo kukosa uwezo wa kusafiri au kutembea kwenda sehemu zingine za mwili hususan kwenye moyo! Hapo hali inakuwa mbaya sana!
Kuna wanaume wengine wanaji-overdose viagra au madawa ya kienyeji ili wawe wanaume shababi kwelikweli kumbe ndio wanaua mb*o zao. Ndio maana watu wanaotumia madawa hayo baada ya muda fulani hali zao za kiume zinakuwa mbaya zaidi afadhali ya jana!
Bahati mbaya au vyovyote vile kama umesimamisha mb*o masaa kadhaa hakikisha katika kipindi cha ndani ya masaa manne tafuta tiba haraka kwa daktari! Wengine baada ya kutumia hayo madawa na mboo kusimama kama msumari masaa mengi wao hudhani dawa ni kufanya mapenzi masaa mengi na mwanamke ili kuondokana na hali hiyo! Tena wengine ndo hufurahia eti ‘leo mwanamke fulani nitamfaidi kweli…’. My brother you are killing yourself’!!! Hutoweza kumkomoa mwanamke kwa kufanya mapenzi! Matibabu ya tatizo hilo ni kunyonya damu kwa kutumia sindano itakayochomwa kwenye mshipa wa damu uitwayo vein kwenye mboo yako! Mwisho nakushauri kula sana vyakula vya asili kama matunda na mboga za majani. Usisahau mazoezi ya viungo




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages