MAPENZI NI HISIA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2019

MAPENZI NI HISIA


Kwenye mapenzi ukiona unatumia nguvu ya ziada au ushawishi wa kitu fulani ili fulani akupende au aongeze mapenzi basi yawezekana hajakupenda kwa dhati 
Mapenzi ni hisia,,anayekupenda kweli hawezi kukufanya utumie nguvu au ushawishi wa kitu kumpata 
Na ukishamkubalia basi pima upendo je,ni upendo wa maneno au vitendo? 
Vipimo huja kwenye kutazama vitu kama kuheshimu hisia zako kama unavyofanya kwake,,,kukupa muda wake,,,kukujali kama wewe unavyomjali,,,kuboresha mawasiliano na kuthamini uwepo katika hii dunia.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages