JIFUNZE HAPA PENZI LENYE NGUVU LINAFANANAJE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 12, 2019

JIFUNZE HAPA PENZI LENYE NGUVU LINAFANANAJE


Mapenzi ya kweli ni yale ambayo watu huumizana kiasi,,hugombana kiasi,,husumbuana kiasi,,hulizana kiasi,,zaidi ya yote hawa wawili hutumia busara na hekima kufutana machozi na kuruhusu tabasamu kurejea ndani yao na kupanga maisha pamoja,,kusikilizana,,kuheshimiana,,kufanya yampayo amani kila mmoja wao,,zaidi ya yote kila mmoja kuijua thamani ya mwenza wake na upendo wake,,,,HILO NDILO PENZI LENYE NGUVU



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages