UKITAKA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO EPUKA KUJIBADILI ILI UPENDWE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 11, 2019

UKITAKA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO EPUKA KUJIBADILI ILI UPENDWE




Ukitaka kudumu KATIKA MAPENZI hasa ya ndoa,,,EPUKA KUBADILIKA AU KUJIBADILI ILI UPENDWE NA MTU UMUONAE  BORA NA SAHIHI KWAKO,,,bali ACHA MTU HUYO AKUPENDE KAMA ULIVYO,,maana ni rahisi mtu kuvumilia mapungufu yako aliyo kupenda nayo ila ni vigumu kuvumilia udanganyifu atakao ugundua,,,tambua maigizo KATIKA MAPENZI hayadumu,,,,,acha AKUPENDE ukiwa wazi na kasoro zako,,,ni bora akubadili yeye ukiwa KATIKA njia na mazingira yake,,,,wengi wamebadili tabia ili wapate wakuwaowa au kuoa,,,lakini wakiingia ndoani wanajisahau,,,wanajiachia na kujiumbua wenyewe kwa kurudia asili zao,,,,lazima ndoa yako iwe hatarini,,,,,kamwe huwezi kuigiza tabia milele,,,,na uongo ni sumu kali sana KATIKA MAHUSIANO maana hubomoa ukuta wa uaminifu,,,,,,NI VIGUMU MWENZI WAKO KUENDELEA KUVUMILIA KUISHI NA MTU AMBAE SI SAHIHI KWAKE,,,,,TAMBUENI HILO.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages