SEMA NO KWA UTUMWA WA KIMAPENZI - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 11, 2019

SEMA NO KWA UTUMWA WA KIMAPENZI


Mwanamke anayejiamini yeye ni mzuri na ana tabia njema,,,hawezi kukubali kuwa mtumwa wa penzi lisilo hadhi yake,,,,unapojitoa kumpenda mtu lazima na yeye ajitoe kukupenda in return,,,sio wewe unapenda tu huku mwenzio haonyeshi hata asilimia moja ya upendo na still unajiita A GIRL OF SOMEONE,,,,,,baby wake john,,,,wakati john hana hata habari na wewe,,,,,,Wanaume hawajaisha,,wapo sana,,,sasa wewe unakomaa na gobore lisilo na risasi kisa umelizoea wakati Kuna SMG IMEJAA RISASI TELE INAKUSUBIRI,,,,SEMA NO KWA UTUMWA WA KIMAPENZI,,,KAMA HAKUPENDI ONDOKA HAPO.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages