RAHA YA MAHUSIANO NI KUJUA KUWA MPO WAWILI NA KILA MMOJA KUTIMIZA WAJIBU KWA MWENZAKE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 15, 2019

RAHA YA MAHUSIANO NI KUJUA KUWA MPO WAWILI NA KILA MMOJA KUTIMIZA WAJIBU KWA MWENZAKE



Habari yako msomaji wangu,, leo naomba nigusie jambo hili,,unapokuwa katika mahusiano maana yake mpo wawili na kila mmoja anahitaji kitu toka kwa mwenzake,,ba upendo wa kweli haujitazami peke yake,,vile unapenda hudumiwa basi hudumia na mwenzako,,hivyo si kila wakati unapaswa kupata kile unachokitaka wewe,,wakati mwingine ni lzima kusikiliza na upande mwingine na kuwa tayari kutoa au kukitoa unachokitamani ili kumridhisha mwenza wako,,hata kama hutaki kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages