NILIWAHI KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE, NIKIZAA MUME WANGU ATAJUA? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 14, 2019

NILIWAHI KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE, NIKIZAA MUME WANGU ATAJUA?



habari bassa hongera sana kwa kuanzisaha blog ambayo inasaidia watu wengi kwa ushauri mungu akuzidishie.mimi ni msichana mweye umri wa miaka 25 nimeolewa mwaka jana naweza kusema tangu nimeolewa karibu mwaka sasa na   tunaishi vizuri na mume wangu.
Tatizo langu ni moja aunt kabla sijaolewa niliwahi kuwa na boyfriend ambaye nilikuwa nae kwenye mahusiano karibu mwaka mmoja mwanzo alikuwa anaonyesha ni kijana mtaratibu na mstaarabu lakini baadae kama baada ya miezi sita ya mahusianao alianza tabia ya kuniomba tufanye mapenzi kinyume na maumbile, Sio siri nilipingana nalo sana hilo jambo baadae akaniambia alikuwa ananitania aone kama nitakubali yakaisha.
lakini baada ya kama miezi kadhaa hivi akaanza tena kuniambia kuhusu jambo hilo tena nikakataa, siku moja tukiwa tunasex akaforce kuniingilia kinyume na kwakuwa alinistukiza akaniingilia tukawa tunagombana huku mimi nikijitoa nikafanikiwa kutoka huku nikiwa na maumivu sana kiasi kwamba kama muda wa siku tatu hivi niliumwa nikastop mawasiliano nae
akaanza kunifuata kwetu na kunipigia simu akiomba turudiane nimsamehe ni shetani alimpitia alinibembeleza sana kwakuwa nilimpenda nikakubali tukaendelea na mahusiano siku nyingine tena nikaenda kwake kumtembelea akanipa kinywaji kumbe sikujua aliniwekea dawa za usingizi nikalala akaniingilia nyuma tena akiwa ndio ananiingilia kwa mbali nikiwa na kizunguzungu nikahisi maumivu nikawa nalazimisha kuinuka huku sina nguvu na alivyoona nimeshituka akajitoa akaanza kuomba msamaha akasema yeye hawezi kuwa na mwanamke bila kufanya hivyo akasema kazoeshwa na mwanamke wake wa mwanzo ambae alishaachana nae mimi kuona vile nikaamua rasmi kuachana nae nikaona ataniharibia na isitoshe dini inakataza
nikawa naogopa kwakuwa nasikia wanawake wengi wenye mchezo huo wakati wa kuzaa wanapata shida na manesi wanawatukana sana. sasa aunt tatizo ni kwamba baada ya kukutana na mume wangu sikumwambia ukweli kama boyfriend wangua aliyepita aliwahi kunifanyia kitendo hicho ingawa anajua kama niliwahi kuwa na boyfriend kabla yake na kitu kingine aunt mimi sasa hivi nimeolewa na napenda na nahitaji sana kuzaa
lakini naogopa kitu kimoja nikija kuzaa haitojulikana kama niliwahi kufanyiwa hivyo?na pili. watu wengine wanasema kama umezoea ndio unajulikana lakini kwa mara moja au mbili sio rahisi jamani naombeni mnishauri kwani nina wasiwasi nikija kuzaa ikajulikana mume wangua ataniacha na nampenda sana mume wangu na naogopa sana aibu ikijakujulikana hakuna atakae niamini kama sikufanya kwa hiari yangu. please bassa naomba msaada


1 comment:

  1. WASILIANA NA DR FADUMI kupitia Barua Pepe: (spiritualsolutionboxstopcentre@hotmail.com)
    Whatsapp: +1 (405) 829‑4504

    Hamjambo marafiki, niko hapa ili kusema ushuhuda wa kustaajabisha na wa kustaajabisha kuhusu mtumaji mahiri aliyenisaidia. Kumrudisha Mpenzi wangu ndio sikutarajia na sikuwahi kufikiria. Mimi na Mpenzi wangu tumeoana kwa miaka tisa na tunaishi kwa furaha lakini ghafla alibadilika kabisa na kuniacha na sikujua kinachoendelea, nilijaribu kumuuliza lakini alikataa kuniambia nini. tatizo lilikuwa, na kadiri muda ulivyozidi kwenda akatafuta talaka. Nilikuwa na wasiwasi na kuchanganyikiwa, na nilijitahidi kumrudisha lakini haikuwa rahisi, nilidhani matumaini yote yamepotea, siku moja nilipokuwa nikitafuta kwenye mtandao, niliona mtu akishiriki ushuhuda jinsi mtangazaji mahiri anayeitwa Dr Sunny ambaye alimsaidia kumrudisha EX WAKE. Sijawahi kuamini katika uchawi katika maisha yangu yote au uchawi kwa sababu sikuwahi kufikiria kuwa utafanya kazi lakini nilijaribu kumpa mtu huyu nafasi na kwa mshangao mkubwa, aliroga ili kumrudisha Mpenzi wangu, Mara moja akatupa uchawi. aliniambia kuwa kabla ya JUA KUTUA, EX wangu atakuja Kurudi nyumbani. kweli kabla ya jioni hiyo alirudi na kuomba msamaha na kuwaambia watoto amewakumbuka. hii imenifanya nimwamini DR SUNNY, leo tumerudi pamoja katika Nyumba yetu nzuri na watoto. Asante Dr Sunny Tumefurahi pamoja tena na natumia fursa hii kumwambia mtu yeyote anayepitia hali kama hiyo au kama unahitaji Tiba kuwasiliana naye kwa
    WASILIANA NA DR Sunny : Barua pepe: (spiritualsolutionboxstopcentre@hotmail.com)
    Whatsapp: +1 (405) 829‑4504
    WhatsApp:+234 916 2183 225
    Programu ya mawimbi : + 1 (405) 829‑4504
    Programu ya Zangi: 10-0704-4693

    ReplyDelete

Post Bottom Ad

Pages