NDOA SIO FURSA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 13, 2019

NDOA SIO FURSA



Nawakumbusha tu ndoa sio fursa kwamba uikimbilie,,,,,eti kwa vile wenzako wote wameolewa na wewe lazima uolewe,,,,utajutia uamuzi wako,,,ndoa inahitaji utayari wako,,,inahitaji mtu sahihi kwa wakati sahihi,,,usije itia aibu familia yako,,,wakapokea/wakatoa mahali,,,mwisho wa siku uanze kubadilika na kukataa kuolewa au kuoa,,,kwa madai ya kuwa mwenza wako sio mtu sahihi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages