MWANAUME BORA NI YULE................... - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 13, 2019

MWANAUME BORA NI YULE...................


Mwanaume bora ni yule anaekupa furaha,,mwanaume bora ni yule anaeilinda amani yako isipotee,,,,,mwanaume bora ni yule anaethamini na kuheshimu utu wako,,,,mwanaume bora ni yule anayethamini penzi lako,,,,,,,mwanaume bora ni yule anayejitoa kwako,,,,mwanaume bora ni yule anaekubali mapungufu yako na mwanaume bora ni yule anayekupenda wewe,,,wazazi wako pamoja na jamii inayokuzunguka.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages