MWANAMKE MMACHAME VS MROMBO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 12, 2019

MWANAMKE MMACHAME VS MROMBO




Ni ombi kaka angu kanipa homework na yupo serious kabisa.
Ana warembo wawili anafahakiana nao ila anataka amtokee mmoja kati ya hawa wawili na ana uhakika atakaye mwambia anataka kumwoa hata kataa kwa sababu wanafajamiana vizuri.
Sio kwa lengo la ubaguzi ila anagaja mwanamke mchaka kazi, asiye mbinafsi, atakaye itunza familia na kuheshimu ndoa.
Wa marangu ni mweupe mrefu na wa rombo ni mweuzi macho kama golori.
Amesikia kuna tofauti kati ya wanawake wa rombo vs marangu.
Comment yako inaweza msaidia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages