Mwanamke ameumbiwa uvumilivu,,anaweza kukupenda bila kutazama elimu yako,,uchafu wako,,kazi yako,,umasikini wako,,utajiri wako,,gubhu zako,,shida zako,,kipigo chako,,dini yako,,umaarufu wako,,matusi yako hali kadhalika muonekano wako,,,,,,lakini ukijisahau na kudhani kuwa mwanamke huyo ni mfano wa punda,,,kwamba akubebe wewe pamoja na mizigo yako na bado umpe kipigo muda mwingi na kama haitoshi muda wake mwingi umemfunga kamba shingoni asitafute riziki kisa wivu na hofu isiyo na msingi,,,,,MAPENZI ya UTUMWA yamewashinda wengi,,,,,UHURU ni nguzo kuu ya mahusiano,,,AMANI,,FURAHA NA UPENDO,,huja mahali palipo na uhuru wa kweli,,,,kama wapo wanawake wanaoteswa na wanaume wasiojitambua nawashauri wajitoe bila hofu,,,,,wapo wanaume watakao wapa furaha ya kweli#mapenzisiovitakusemaupambane.

No comments:
Post a Comment