KURUDIA KOSA MARA KWA MARA HUVUNJA KABISA UAMINIFU - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 14, 2019

KURUDIA KOSA MARA KWA MARA HUVUNJA KABISA UAMINIFU



Ni kweli hakuna binadamu aliyekamilika,,,ila ni pale tu inapotokea wewe una kila sababu ya kuomba msamaha iwe kazini au kwenye mahusiano,,,,ujue hiyo tabia unayoiendekeza unaipenda na ipo siku mtu anayekusamehe mara kwa mara atashindwa kukusamehe,,,inavunja moyo sana,,,inasababisha pia mtu kukosa moyo na anaweza kufanya jambo la kinyama kama kukupiga au chochote kibaya,,,,sababu tu ulivunja moyo wake mara nyingi na sasa haupo tena.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages