KUBADILI TABIA SABABU YA MPENZI NI UDHAIFU? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 14, 2019

KUBADILI TABIA SABABU YA MPENZI NI UDHAIFU?





Wapo watu ambao wamejitoa sababu ya penzi na kuamua kuacha matendo yote mabaya ili kuwafurahisha wenza wao,,,,,ila watu hawa mara nyingi wamekuwa wakiambulia mateso na maumivu makali toka kwa wenza wao,,,,huonekana ni wadhaifu kwa kukubali kubadilika na kama haitoshi muda mwingine huwa wanasimangwa na kuonekana wanaigiza mabadiliko,,,,lakini niamini mimi watu wa aina hii wanaobadili tabia zao kwa akili ya wapendao huwa na upendo wa dhati sana.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages