HUSBAND MATERIAL WAPO KWELI ?? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 12, 2019

HUSBAND MATERIAL WAPO KWELI ??



Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia, wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages