Mahusiano yambali ni kweli huwa na changamoto...ila kubwa inategemeana na msingi wenu...na tabia ya mtu wako...msingi wenu kama mbovu...na mtu hana hofu ya Mungu basi kuna hatari...maana mtu kama hamwogopi Mungu sembuse wew...ndomana...tunahitaji kuwa makin kabla ya kuanza mahusiano....maana unapoanza mahusiano nisawa na kumpa mtu dhamana...ya maisha yako....sasa hata akiwa mbali kama ni mtu ambaye anahofu ya Mungu kwanza huko alipo atakuwa anautafuta uso wa Mungu..hataki kumtenda Mungu dhambi...mfano kama Yusuph....nataka mnielewe vizur mtu ambaye hana Mungu hawezi shinda tamaa za mwili kirahisi...maana mwili unashindana na roho,,sas unapo kuwa karibu na Mungu ndipo unapo weza shinda dhambi...ya usaliti...Daudi katika bible akasema Moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi...so mahusiano ya mbali yatakuwa salama kama mna upendo wa dhati na hofu ya Mungu...pia mahusiano ya mbali yana dumishwa kwa kuwa na mawasiliano mazur kati yenu...ukiona mna mawasiliano duni...ooooh kuna hatari ya kupoteza mtu...maana unafanya akose raha ya upendo...toka kwako...pia migogoro ya mara kwa mara ni sumu...utafanya mtu abebe mtu amfungie ndani maana we upo mbali...alafu kelele nyingi...kujali hujali....so lazima mtapotezana....so muhimu ni uwepo wa MUNGU,,na Mungu akiwepo atakusaidia usiwe mzigo kwa mpnz wako maana yey alianza pamoja nanyi...hivyo atasimama kuwapa hekima ya kutunza penzi lenu hata kama mpo mbali kiasi gani...
Monday, April 8, 2019

ZISHINDENI CHANGAMOTO ZA MAPENZI YA MBALI

Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment