Usijione duni sana wala kukata tamaa,wakati wa kushinda vita au jaribu lako katika mahusiano ndo huu,,wengi hushindwa kuomba na wapenzi wao,ila kama huna desturi hiyo anza kwanza wewe kujijengea kusali,ujasiri huja kutokana na matendo yenye imani ndani yake,piga goti ombea kazi yake,uhai wake,afya yake,ufahamu wake,jifunze kuona mema hata katika magumu maana ukifikilia sana ubaya huwezi ona dalili za ushindi,ila ukitarajia mema na ukapiga goti kwa Mungu,Mungu lazima itatenda na kuleta mabadiliko,na mwisho nafasi yako itaonekana na heshima kurejea,,.
Monday, April 8, 2019

USHINDI KATIKA MAHUSIANO UNAANZIA KATIKA MAOMBI
Usijione duni sana wala kukata tamaa,wakati wa kushinda vita au jaribu lako katika mahusiano ndo huu,,wengi hushindwa kuomba na wapenzi wao,ila kama huna desturi hiyo anza kwanza wewe kujijengea kusali,ujasiri huja kutokana na matendo yenye imani ndani yake,piga goti ombea kazi yake,uhai wake,afya yake,ufahamu wake,jifunze kuona mema hata katika magumu maana ukifikilia sana ubaya huwezi ona dalili za ushindi,ila ukitarajia mema na ukapiga goti kwa Mungu,Mungu lazima itatenda na kuleta mabadiliko,na mwisho nafasi yako itaonekana na heshima kurejea,,.
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment