ILIYO SAMBAA USIKU WA LEO.
Usijenge urafiki na starehe wakati shida ni jirani yako, hakuna tuzo za ngono zaidi ya ukimwi. Jipange mtu wangu maisha magumu na umri haurudi nyuma, wazuri ni wengi lakini yupo umpendae zaidi ya wote onesha kumjali, kumheshimu, kumthamini na kumuonesha yy ni wa pekee kwa kumwonesha upendo zaidi, kupenda mtu mmoja tu, usijifausijifanyeeumelaaniwa kuwa mzinzi MICHEPUKO SIO DIL BAKI NJIA KUU, Utajiingiza kwenye mtandao wa magonjwa!
Ungana na mimi kukomesha ngono zembe usiku huu.
EPUKA UKIMWI, HPV na Magonjwa mengine ya Zinaa.
EPUKA UKIMWI, HPV na Magonjwa mengine ya Zinaa.
"Usiku Mwema"
Bado Najikubali
Bado Najikubali
Hi my name is Nick from Belgium, please contact me with my email address So we talk
ReplyDelete