Jamani tujue majina yetu ya asili kumwita mpenzi wako hayanogi.......Na wakati mwingine kwa kutojua hivyo tunaitana kawaida tu......sasa nataka ujifunze kupamba penzi lako kwa kutumia majina ya kimahaba kumwita mpenzi wako kama haya yafuatayo
1.bby
2.darling
3.my love
4.dear
5.sweetheart. N.k
Kumbuka majina haya huleta hisia ya mapenzi kwa mtu wako na kuona unampenda... Kuliko kumwita baturi,matatizo,Jose n.k.
No comments:
Post a Comment