TOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME KATIKA MAHUSIANO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2019

TOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME KATIKA MAHUSIANO




Wanawake na wanaume tuko tofauti hasa inapokuja swala la LOVE ss huwa tnahitaji kufanyiwa vitu vingi kwa wakati mmoja of which haiwezekani lkn kwa mwanaume utajua ni wako pale tu atakapotimiza mambo matatu 1. Kukulinda(protection) 2. Respect ( heshima),na kukupa title(profess)- ana uwezo wa kukutambulisha kwa watu wake wa karibu kama mpenzi wake. Na wanaume huitaji pia vitu vitatu kutoka kwetu 1 uaminifu,sex,support. Hivyo mara nyingi inategemea na wewe vigezo ulivyojiwekea toka mwanzo mfano kuna mbinu huwa inashauriwa kwamba chkua siku tisini bila kmpa sex na kumpa standards zako akishindwa kufikisha izo siku bas sio wako lkn akiendelea kuwepo na akawa comfortable inawezekana akawa wako. Lkn pia njia nyingine ni ile ya kusali kabla ya kuanza mahusiano itakua vigumu kama hukuanza na sala alaf ukaanzia sala katikati ukategemea Mungu atakuonyesha huyo ndo wako, unapoanza na sala inakuepusha kktana na watu watakaourarua moyo wako ivo atakuletea mtu sahihi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages