TABIA NJEMA NI MSINGI WA MAFANIKIO KATIKA MAHUSIANO NA MAISHA KIUJUMLA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2019

TABIA NJEMA NI MSINGI WA MAFANIKIO KATIKA MAHUSIANO NA MAISHA KIUJUMLA


kila jambo linalofanikiwa vizuri lazima liwe na maandalizi mazuri,mipango mizuri zaidi nidhamu bora,,maisha ya mahusiano yanahitaji kuheshimiana,nidhamu ni kiini cha mafanikio,itafanya msikilizane,muheshimiane,msaidiane,mthaminiane na mchukuliane kama mlivyo,epuka kumdharau mpenzi wako,jifunze kumuheshimu na kujua thamani yake,mahali penye heshima Mungu huonekana,nawatakia siku njema na Mungu awabariki mzidi kupendana na kuheshimiana,,.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages