MWANAUME ANAYESEMA NATAKA NIKUPE MIMBA NDO NIKUOE SI SAHIHI - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 11, 2019

MWANAUME ANAYESEMA NATAKA NIKUPE MIMBA NDO NIKUOE SI SAHIHI


Habari yako msomaji wangu natumaini upo salama,,Leo nataka niongelee swala zima la wanaume wanaosema "Nataka nikupe mimba ndo nikuoe" hii ni kama tahadhari kuwa mwanaume wa aina hiyo si sahihi na hafai katika maisha yako, huyo simwanaume sahihi,kwahiyo ukiwa haukupata mimba hatakuoa? Pili atakuwa amekupenda kwa sababu ya mimba, na endapo utajifungua atasubiri umlee mtoto miezi kadhaa au mwaka na baadae kumchukua na kukuacha wewe kwasababu mapenzi yapo kwa mtoto na si kwako,,huyo hana upendo Wa Kweli,anataka akuchezee tu, ndoa inahitaji watu ambao, wanahofu ya mungu, upendo wa kweli na uaminifu wa hali ya juu,.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages