Nilishawahi sema makosa makubwa yanaanzia kwenye kuanza mahusiano...je huyo mtu mmekutana wapi...ktk mazingira gan...je ulisha wahi tenga muda kuomba juu ya hitaji la mke au mme...?
Wengi ni wavivu na wanapenda kurahisisha mambo...niseme jambo hili..lengo la kuwepo kwa mme na mke nikutimiza kusudi la Mungu..na Mungu ndye anaye panga...japo wengi tumejifanya miungu watu hatutaki kufata utaratibu...je hayo mahusiano na uyo mtu je Mungu kahusika?...au maumivu ya kuachika yamekusukuma,,,au tamaaa,,,au uzuri umekushawishi....kila mtu anajua anavyo na alivyo anza..mahusiano...sasa kwa utangulizi huo...hata mtu ajifiche vipi mpe muda miez mitatu...acha papala za mihemko...utaweza mjua kwa sehemu....maana kwanza wew lazima uwe na pesa...au mali...maana huwezi sema utajuaje wakati pesa huna...mtu anayekuja kimasrai anaenda mahar penye pesa...au mtu mwenye kazi...na muda wote yeye atakuwa anataka apewe kipaumbele yeye kwa kila jambo...au kutaka kipaumbele kwa ndugu zake...kila ukitoa wazo la maendeleo...anajitazama yeye...na huwa ana lalamika usipo mtimizia atakayo na hajari hali yako...na majukumu yako....
No comments:
Post a Comment