Nataka ujue uzuri wa mtu huongezeka thamani pale mwenye kitu au mtu anapoonyesha kujali na kuthamini,,punguza kulalamikia mapungufu yake,jifunze kumsifia mpenzi wako,mfanye ajione wa tofauti,mfanye ajione wa pekee,mfanye ajivunie wewe,msifie,mfundishe,mwelekeze,mtie moyo,ni wew pekee wa kumfanya ajivunie upendo wako,kumbuka ukishindwa kumsifia kwa uzuri,shape yake,mwenendo wake,sauti yake na vyote alivyonavyo,,jua kuna mtu atajitokeza kujua yeye ni wa thamani na kumwagia sifa ambazo wewe hujawahi mpa..jua utampoteza,hakuna anayependa kukaa kwenye kelele,jua sifa hufanya furaha ya mtu idumu na mtu kuona ana umuhimu na mchango katika mahusiano..acha kupiga kelele na kasoro za mpenzi wako.

No comments:
Post a Comment