Habari yako msomaji wangu,najua mengi yanaendelea katika mahusiano yako na unajiuliza huyu mtu nimfanye nini,maana habadiliki,nataka ujue jambo hili "MSAMAHA".hubadili huzuni ya moyo,kuna mambo yanatokea sababu tulikosea wenyew wakati tunaanza mahusiano,tulibebana tu bila kujuana kwa undani zaidi,na kuna wengine kutokana na makosa yaliyofanyika tayari katika mahusiano yalisababisha kutokea mwanya wa mabaya,na hakika hakuna jambo ndani ya mahusiano linatendeka halina sababu,kila jambo lina sababu iliyopelekea kutokea,yamkini ni miaka kadhaa iliyopita na matokeo unayaona leo na hujajua unalalamika na kuumia,sikia unatakiwa ujisamehe wew na uache kujilaumu,ili utue mzigo wa uchungu na upate kibali kwa Mungu na nguvu ya kumsamehe mpenzi wako na kuruhusu Mungu aingie na kubadili hali yenu na kuleta furaha,kuwa tayar kushughulikia chanzo na kuwa tayari kusamehe ili uokoe ndoa/uhusiano wako,,.
Friday, April 5, 2019
KUSAMEHE HULETA AFYA YA NDOA/MAHUSIANO

Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment