KUMBEE!! HIZI HAPA SABABU ZA WANAWAKE KUWATESA WANAUME WAFUPI - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

KUMBEE!! HIZI HAPA SABABU ZA WANAWAKE KUWATESA WANAUME WAFUPI




- Kulingana Askmen.com, mwanaume wa kawaida huwa na urefu wa kati ya futi 5.08 hadi 5.11. Mwanau mwenye urefu chini ya hiyo, huwa mfupi

- Wanawake wengi wameonekana kutowapenda watu wafupi. Katika kauli yao, ni heri kuoa mwanaume asiye na sura ya kuridhisha kuliko mwanaume mfupi mwenye sura nzuri

Kulingana na utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha California,wanaume wafupi hupata wapenzi wachache sana katika maisha yao ikilinganishwa na wanaume wa urefu wa wastani.

Hizi ndizo sababu wanawake huchagua wanaume warefu;

1. Kujihisi wakiwa salama
Mwanamke hujisikia salama kwa mwanaume mrefu kumliko mwanaume mfupu
Katika utamaduni, mwanaume ndiye hujukumiwa kumlinda mkewe na familia kwa ujumla. Hivyo hii ndiyo jambo la kwanza mwanamke huangalia kwa mwanaume kabla ya kuchumbiana.

Mwanamke hutaka mwanaume anayeonekana mwenye usemi kumliko. Hivyo basi, mwanaume mrefu huonekana mwenye uwezo na ambaye mwanamke huweza kumnyenyekea.

2. Mwanaume mrefu kuwaliko
Wanawake hupenda mwanaume anayeweza kuwaangalia utosini. Yaani wanapotaka kumwangalia usoni, wanatazama juu, sio chini!

Labda ndiyo maana wanawake huvaa viatu vya visigino virefu, waongeze urefu wao. Hii ina maana kuwa mwanaume mfupi ataonekana asiye na usemi wowote kwa mkewe na hata kwa jamii.

3.Dhana ya kuwa hafifu
Mwanamke kwa kawaida hujichukulia hafifu mbele ya mwanaume.
Mwanaume mrefu humfanya mwanamke kujisikia dhaifu mbele yake. Jambo ambalo kwa kawaida linafaa.kuzungumziaKulingana na wanawake, mwanamke akiwa na mwanaume mfupi hujiona kuwa wanatosha au hata ako na nguvu kumliko, hivyo akitaka anaweza mchapa. Hii ni tofauti ikilinganishwa na wanaume warefu.

4. Kiwango cha hasira
Wanaume wafupi hukasirika haraka kwa kuona kama wanadharauliwa
Wanaume wafupi husemekana hukasirika haraka hata kwa mambo madogo. Hii ni kwa sababu wengi huona kana kwamba wanadharauliwa kwa sababu ya ufupi wao.
Wanawake huamini kuwa hii tu ndio njia pekee wanaume wafupi hutumia kujisawazisha na wengine njia ambayo kwa ndoa yaweza leta balaa.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages