SABABU.habari msomaji wangu, nataka tukumbushane kuwa katika mahusiano tunaumizana mno,na kukoseshana furaha kwa maneno au vitendo vyetu sababu tu kuna wakati unaweza ukute jambo mpenzi wako nafanya na bila kutaka kujua sababu,unajikuta ushafanya maamuzi,lakini kwasababu mpenzi wako ni mvumilivu na mwenye busara anaamua kujishusha kuomba msamaha ili asikukwaze,ila nikwambie kuwa hii tabia siyo nzuri,jifunze kuwa na tabia ya kuuliza na ujue jambo vizuri ndo uchukue maamuzi kwani mara nyingi tumepoteza watu wazuri na yamkini wangekuwa msaada baadae,sababu ya kutowapa nafasi kueleza mazingira ya jambo kutokea na tukashikilia misimamo yetu na kufanya maamuzi yetu jambo ambalo si zuri,jifunze kumsikiliza mpenzi wako,mpe nafasi,kwani ufanyapo hivyo unaonesha ukomavu na unajenga misingi yenye mahusiano yenye nidhamu.
Friday, April 5, 2019
KATIKA MAHUSIANO USIWE MWEPESI KUFANYA MAAMUZI BILA KUJUA
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment