Ushauri
Katika Historia yangu ya mahusiano sijawahi kubahatika kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye zigo haswa. Hicho kitu kimekuwa kinanisumbua sana na kujiona kuna kitu bado nakikosa.
Kwa yeyote aliye na information muhimu za kuweza kufanikisha mimi kumiliki zigo ni vizuri ukani-inform.
Tafadhali achia comment yako
No comments:
Post a Comment