JIFUNZE KUISHI NA MWANAUME ASIEJUA KUJALI..SOMA HAPA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

JIFUNZE KUISHI NA MWANAUME ASIEJUA KUJALI..SOMA HAPA



Habari  yako msomaji wangu,leo nataka nizungumzie swala zima la wanaume wenye upendo lakini hawajali(care),,kuna tofauti kubwa sana kati ya upendo na kujali(care)unaweza ukawa na mwanaume anayekupenda lakini hajali pia unaweza kuwa na mwanaume mwenye kujali lakini hana upendo lakini pia unaweza kuwa na mwanaume mwenye vyote upendo na kujali,,.sasa basi mwanaume mwenye upendo lakini hana care kwanza ni kwenda naye pole pole

.....unahitaj umakin watu hatufananiii na kwakuto jua unaweza ukamwacha...wakat huyo ndo mwenye upendo...ukampata ana care lakin upendo hana...jifunze kumchukulia...punguza jazba kwa anapokosea....tenga muda mkiwa wawili...jitahidi kuwa wazi mwambie nin moyo wako unataman toka kwake,.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages