EPUKA MAJUTO KATIKA MAPENZI. - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

EPUKA MAJUTO KATIKA MAPENZI.



Nataka nikukumbushe kuwa katika mahusiano hamna kitu kibaya kama dharau,....Usije ukaja puuzia na kumdharau mtu anaye kupenda,,,mara nyingi kwa kukosa msimamo umejikuta umemkubalia mtu kuwa mpenzi wako au unamtongoza mtu then baadae unakuja ona hana jipya,wakati umeshampotezea muda wake,yamkini na umri ushaenda unakuja kumwacha kwasababu za ajabu zisizoeleweka,yamkini umepata mwingine unaanza kumdharau mpenzi wako,,kosa dogo akifanya unashikilia na kumdharau,hii siyo nzuri ipo siku utaanza kukumbuka umuhimu wake na wakati huo utakuwa ushampoteza,utakumbuka mambo mengi lakini kwasababu utakuwa umeshamshusha thamani itakuwa ndoto kwako kurudisha ile heshima na uaminifu aliokupa mwanzo,,EPUKA HILI TUNZA HESHIMA YA MPENZI WAKO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages