Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.
,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..
sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende,
nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika sehemu husika ...
sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!!
Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda,au ndo style mpya ya kukomoana!?
No comments:
Post a Comment