ACHA MAZOEA NA X WAKO. - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

ACHA MAZOEA NA X WAKO.



Unapokuwa katika mahusiano,tambua umuhimu wa yule uliye naye,mpe heshima,tunza pendo lake,kumbuka kabla hujampata huyo ulikuwa unalia tu,kuwa x wako alikuumiza,alikushusha thamani,alikuwa hajalii,,umempata huyo hutaki tulia,NIKWAMBIE KITU ukiona mmeanza chart mambo,oooh i miss you,,naomba tuonane,,hapo jua haponi mtu...ni balaa,sasa ili kuepuka hayo yote,,tulia na mpenzi MZURI uliyenaye ambae anajua thamani yako na UMUHIMU wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages