Wema Sepetu amefunguka maisha yake ya nyuma na kusema haya:
“Nilipita kwenye kipindi kigumu sana jamani, nimerudi nyuma sana yaani kifupi naanza maisha upya na mpaka sasa siamini kile ambacho kilinitokea yaani kama mtu alinipumbaza”- WEMA SEPETU”
About Utundu Kitandani
No comments:
Post a Comment