Watu 15 Wapoteza Maisha Kwenye Mlipuko Nchini Mogadishu - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2019

Watu 15 Wapoteza Maisha Kwenye Mlipuko Nchini Mogadishu

Mlipuko mkubwa, sauti za bunduki na mabomu imesikika ndani ya Hoteli ya Maka Al-Mukarama Mjini Mogadishu na kundi la Al-Shabaab linadaiwa kuhusika na tukio hilo

Mpaka sasa idadi ya majeruhi imeongezeka hadi kufikia watu zaidi ya 60



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages