Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti Afika Nyumbani kwa Ruge Kuangalia Maandalizi ya Mazishi Ya Ruge - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2019

Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti Afika Nyumbani kwa Ruge Kuangalia Maandalizi ya Mazishi Ya Ruge

Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti Afika Nyumbani kwa Ruge Kuangalia Maandalizi ya Mazishi Ya Ruge

Mkuu  wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amefika nyumbani kijijini kabale, Bukoba  katika msiba wa Ruge Mutahaba ili  kuungana na kamati ya maandalizi kwa ajili ya kukamilisha mipango ya mazishi.

Mwili wa Ruge tayari umeshawasili nchini ukitokea Afrika Kusini na Utazikwa Jumatatu  March 4, 2019



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages