Ishara 15 Za Kuonyesha Kama Mwanamke Amevutiwa Kwako - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 28, 2019

Ishara 15 Za Kuonyesha Kama Mwanamke Amevutiwa Kwako

Related image

Kuna wakati mwingine inatokea wakati ambapo mwanamke anavutiwa kwako.

Tatizo ni kuwa wanaume wengi wanashindwa kuwa na ujuzi wa kufahamu ishara zozote ambazo mwanamke anajaribu kuonyesha wakati anapovutiwa nawe. Mbeleni kwa Nesi Mapenzi nilieleza kwa kina ishara za kuonyesha kama mwanamke amevutiwa kwako na leo nimeamua kudokeza ishara za uhakika ambazo zinaashiria ya kuwa mwanamke amevutiwa kwako. 

Ishara za kuonyesha kama mwanamke amependeza kwako


1. Anaitengeneza nguo yake vizuri ama kuziweka nywele zake vizuri wakati ambapo uko karibu naye.

2. Anayalenga matiti yake upande wako na kuyapandisha juu wakati mnapozungumza.

3. Anacheka mizaha yako....hata kama haichekeshi.

4. Anaingiwa na wivu wakati ambapo unazungumza kuhusu wanawake wengine.

5. Anainama kinyuma kuridhisha matakwa yako.

6. Anaulizia watu wengine (marafiki zako) kukuhusu.

7. Anavalia wakati anapokuona.

8. Anakuuliza kama una girl friend...ama kutaka kujua maisha yako ya kimapenzi ya zamani.

9. Anakuomba mtoke out.

10. Anaanza approach ya kwanza kwako.

11. Anakutext bila sababu, na anapenda kukuuliza maswali ya kukujua mambo yako.

12. Anakupa namba yake ya simu wakati ambapo umemuomba email yake.

13. Anapenda kutumia maneno ya kutongoza na anakasirika wakati unapomtesa.

14. Anakuangalia machoni mwako bila kusita ama kuangalia mabega.

15. Anapapatika wakati ambapo unampapasa lakini haonyeshi dalili za kukataa.  


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages