Wanawake wengi wanashindwa kusema hapana(Directly) wanapotongozwa - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 26, 2019

Wanawake wengi wanashindwa kusema hapana(Directly) wanapotongozwa



Wadau habarini za mchana.

Kuna tabia nimeigundua upande wa wadada. Nako ni ugumu wa kusema "Hapana nipo na Mtu ninampenda" unakuta mdada anakwambia anakupenda kweli lakini anaendekeza mawasiliano na wanaume ambao anajua wazi wanamtaka.

Yani Wanawake wengine hawezi kumwambia directly Mwanaume anaemtongoza kwamba "haiwezekani kwasababu ninampenda mwanaume mwingine".

Yani mpaka anaetongoza anakuwa na imani kwamba siku moja atafanikiwa.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages